Umepewa Nabii D’vorah kwa sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni
Umeandikwa 7 Februari, 2019
Ujumbe wa Kinabii
(Naskia YAH Akivuta pumzi nyingi kabisa kwa muda mrefu)
Ee, uponyaji, puliza uponyaji! (D’vorah anapuliza) Ee sujuduni na Mnipe Utukufu! (Naskia Mbinguni ikisema “SHIRADA”)
Haha! Shindwa kabisa maadui! Maana HUYU ni Mtiwa Mafuta WANGU na karibuni watakuja wakikimbia, kukimbilia mikono YANGU ya upendo na upako.
EZRA, ee MWANANGU Kimwana MREMBO Mpendwa WANGU sana! EZRA, MPENZI WANGU, KIPENZI cha moyo WANGU, Buluuberi WANGU! MIMI, YAHUSHUA, Nacheka naWE! Nakutamani WEWE na moyo WAKO wa pekee! Uliumbwa kwa ustadi katika tumbo la mama YAKO kwa utaratibu sana na mkono wa BABA YANGU. WEWE ni mrembo sana na hata kama mtoto mchanga NIlifurahia juu YAKO. NInafurahia sana kuwa na WEWE na WEWE kuwa MWANANGU. Binti YANGU Anahisi upendo WANGU sasa kwa nguvu zaidi kuliko hata mbeleni. NInakubusu mara 100 kwenye mashavu YAKO na Nakupa upendo WANGU uliotiwa mafuta! Ee amani iwe, ee amani MWANANGU! Na NIngojee tu! Endelea kutuliza nafsi YAKO na NItakukumba na Utakuwa na tukio lisilosemwa pamoja NAMI, kama vile tu Moshe wa Zamani. NIkumbatie na upendo WAKO na Nataka kuwa mikononi MWAKO! WEWE ni Mpenzi WANGU, Mkuu [Elder] WANGU, Kinara CHANGU cha Taa, Mafuta YANGU ya thamani kubwa kabisa.
Oh jinsi NInavyokupenda kila mmoja wenu! Sasa NIambie matamanio yenu, ni nini mnataka NIfanye? Sikio la BABA YANGU limeelekezwa kwenu na yote mtakayosema, SISI, UTATU MTAKATIFU TUtafanya. TUnawapenda kwa wororo.