top of page

Unabii 20“MIMI ni YAHUSHUA, Mkombozi Wako! Ee, Njoo na Ucheze NAMI Dansi, Ee Mpenzi wa Nafsi YANGU!

Umepewa Nabii D’vorah kwa Sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni


Umeandikwa 15 Februari, 2019



Ujumbe wa Kinabii


Ee, MWANANGU Mpendwa EZRA, WANGU AliYEtiwa Mafuta, YULE WANGU Anayependeza! Jinsi UnavyoNIheshimu MIMI, YAHUVEH, usiku wa leo unapotembea katika mwelekeo mpya pamoja na hii Huduma.

Ee, asante Watoto WANGU wapendwa! NInapokea sifa zenu! SISI, UTATU MTAKATIFU, TUnapokea sifa zenu! Nyinyi nyote mnanururisha mbele ZANGU mnapoabudu! Ee hazina YANGU Mpendwa, kama tu ungeweza kuona jinsi unavyonururisha mbele YETU! TUnapendezwa. TUnakosa kukaa muda wa pekee na wengine wenu. Naonyesha Binti YANGU maono ya MIMI, YAHUSHUA, NIkicheza dansi na wengine wenu! Nataka kucheza dansi na kila mmoja wenu!

NIulize! Kwa maana Nataka urafiki mkubwa wa karibu sana na BiArusi WANGU na BiArusi WANGU Mkuu usiku wa leo! Nataka matendo makubwa ya kimapenzi!

NIbusu na busu za mdomo wenu. Kwa maana mapenzi yenu ni bora kuliko divai mpya! NImewatia mafuta na mnukio mnapoNIabudu katika roho na katika ukweli. Ee Watoto WANGU Wachanga!

Wavulana WANGU, ee acheni NIje katika vyumba vya ndani kabisa vya nafsi yenu! NIlilieni na mtazame na muone kile MIMI, YAHUVEH, Nafanya! MWANANGU YAHUSHUA Atakuwa kwa uhalisi Mmoja nanyi ikiwa mtaNIruhus NIwavunje, NIwafinyange, na ikiwa mtaweka chini tamaa zenu za mwili.

Ee, Wanaume WANGU na Mwanamke WANGU, hakuna mapenzi yanayoweza kushibisha kama YANGU! MIMI ni YAHUSHUA, MKOMBOZI wenu! Ee Njooni Mcheze Dansi naMI, Mpenzi wa Nafsi YANGU!

EZRA, Nawataka Nyinyi nyote mcheze dansi ule wimbo wa Paul Wilbur! Ni ‘Wimbo wa nyimbo zote’. Uhusiano wa karibu mkubwa. Upendo usio na mwisho NInao kwa kila mmoja wenu! Fungukeni, kila mtu NIruhusuni NIingie. Kwa maana NInasisimkwa na mapenzi. Kabisa!

Hili ni tamanio la BABA yenu, kwa MIMI YAHUSHUA kuongezeka kwa uhalisi kufikia kiwango pale ni MIMI ambaYE naishi na sio wewe mwenyewe. Weka mbali utu [ule ubinafsi]! Njooni, Watoto WANGU Wachanga! Acheni NIwapapase! Chezeni naMI ngoma, ee Mpenzi wa Nafsi YANGU!

Nawapenda, na wakati NIlipeana Damu YANGU pale Kalvari NIlifanyia kila mmoja Wenu, maana Nawapenda na kila kitu ambacho MIMI NIKO! Ee, njooni KWANGU! Fuateni hatua ZANGU! Weka taswira [dhania] MIMI Nakushika na sasa MIMI, YAHUSHUA, Nasema, Naweza pata dansi hii, ee Mpenzi wa Nafsi YANGU, Mpendwa na Mchumba WANGU?

Nawaimbia wimbo mpya, selah!

Upendo, wenu pekee,

YAHUSHUA.


Mwisho wa Neno

1 view0 comments
bottom of page