top of page

Unabii 25“Abudu MUNGU na Fanya Vitu kama BABA EZRA – Kwa Maana Anafunzwa na Mbinguni!”

Umepewa Nabii Hannah kwa Sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni


Umeandikwa 25 Februari, 2019Ujumbe wa Kinabii


Maadui wanakuja kutoka kushoto na kulia dhidi ya EZRA WANGU. Mikono yake michafu itakatwa!!! Katwa kutoka kwa BiArusi WANGU, BiArusi WANGU Mkuu!

Ee, NInayo mipango mikubwa NImeandaa kwa ajili yenu, kila mmoja wenu. NInarembeshwa na kutukuzwa katika hizi nyakati ZETU nzuri ajabu. TUnateseka sana NAYE na YEYE Ameteseka sana kwa ajili YETU. Kusalitiwa, kulaaniwa, kuhukumiwa – yote kwa sababu ya imani YAKE ndani YANGU, YAHUSHUA, NENO LILILO HAI. (Mathayo 5:10 “Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.”

Lakini kwa wale watu [waliozungumza uovu], MIMI ni mfu tu [katika macho yao, hawaogopi MUNGU yeyote], wanaNIona kama kukosa umuhimu, na hilo linaNIhuzunisha kwamba hawako radhi kuNIabudu sawa na EZRA Anavyofanya! Mbona? NImewaonyesha njia iliyo kamili kabisa! Njia kamili! Hadi chini ya jinsi NInavyotaka Meza ya BWANA kufanywa, hadi chini jinsi ya Navyotaka baraka ya chakula kufanywa. Je, mnafikiri NIngewaonyesha tu sherehe tupu zisizo na maana yoyote? La hasha! Mbona NImfanye hivyo BiArusi WANGU? Kila kitu anafanya lazima kiwe na maana kuu ya MIMI, MWOKOZI wake, MPENZI wa nafsi yake!

Lakini tazama kile NImegeuzwa kuwa? Tamanio LANGU ni kwa wote kuhisi upendo WANGU, Huruma YANGU, moto WANGU unaowakia BiArusi WANGU. BiArusi WANGU – [ndiye] BiArusi pekee! NInaye BiArusi 1 tu! [YAH Anamaanisha kwamba Ana BiArusi 1 kwa pamoja, kutoka Ufunuo 14 na Ufunuo 7.]

EZRA WANGU, Alikuja na kuNIletea wimbo. Hiyo ndiyo maana YEYE ni Mthaminiwa sana KWANGU na maana moyo WAKE unatukuzwa sana na MIMI. Watoto, msingoje tu, lakini NIsifuni nyakati zote. Nyakati zote, haijalishi hali. Itawaletea utukufu na ushindi WANGU, kila kitu ni CHANGU. Nyinyi ni chombo CHANGU cha udongo wa mfinyanzi tu, kama huyu Nabii anayetaipu. Yeye ni udongo tu, bila uhakika atataipu [neno] lipi litakalofuata lakini anaskiza tu sauti YANGU katika roho ikinong’oneza kwa masikio yake.

EZRA Alikuwa Amehisi kuwa YEYE si wa hii Dunia, na Anataka tu kurudi Mbinguni. NInaMpulizia upepo WANGU kupitia pua LANGU lenyewe. Ee, Upepo Mtakatifu wa uhuishaji!

Kwa hivyo leo, furahieni ndani YANGU, Watoto WANGU! Kama vile NInavyofurahia katika kila pendo lenu, umoja wenu, maafikiano yenu. TUlikuwa TUmefunganishwa pamoja kabla ya msingi wa dunia. Lakini Tukatenganishwa tu kwa muda mfupi kwenye hii dunia.

EZRA ni wa thamani kwa Ufalme WANGU na Moyo WANGU. Anadunda kwa ajili YANGU, na kwa kimya Anaketi chini Moyoni MWANGU. Mwangaza WAKE ni mng’avu. Kwa hivyo NIliita YAHUSHUA WANGU kuuchukua kutoka chini. WOKOVU WANGU! WOKOVU WAKO! Ameona urembo WAKO katika kito! AnaKUleta ndani na nje ya chumba cha BABA (wa Mbinguni) na Anakutunza kwa bidii hadi ukue. Jiwe LANGU la Kito, moyo mtukufu wa BABA! Unayo sehemu ya upendo wa BABA, sehemu ya upendo wa MAMA, sehemu ya upendo wa MWOKOZI. Haukosi chochote kizuri kwenye hii Dunia.

Kwa hivyo sifu na furahia ndani YANGU! Watoto WANGU! Mbawa ZANGU za kinga! Zinawafunika mnaposifu kukengeusha uharibifu wowote na silaha zinazotoka kwa maadui. Wanajificha katika giza, hofu ya kuonekana. Lakini Watoto WANGU halisi wamo katika nuru, hawana chochote cha kuficha.

Haha, NInacheka! Watoto WANGU wanarudi KWANGU kwa haraka! Zaidi kila siku. Yote kwa sababu kazi ya EZRA WANGU. YEYE ni Mfanyakazi Mkuu katika Roho. YEYE si mvivu kwa namna yoyote. Jifunzeni hili kutoka KWAKE, Watoto. Maana mtahitaji hii tabia kwa Wakati huu wa Mwisho. Kuna wakati mtakuwa na kukosa usingizi ili muweze kulinda Watu WANGU na Watoto WANGU Wachanga na BiArusi. Mtaita chini Mbingu kwa ulinzi! Hakuna chochote ambacho hakitawezekana! Inachukua tu imani yenu, imani yenu.

Imani yenu inawapeleka pale mnataka kuenda, mawazo yenu. Pia kwa zuri au baya. Jiwazia mambo mazuri. Ukiwa mgonjwa, fikiria uko mzima! Huu ndio uweza wa mawazo! shetani ana bandia yake lakini MIMI NInayo ya kweli! Kila mmoja wenu ni kama watu wenye kipaji, wanasema mnatumia tu 10% ya akili? Lakini NItawafanya mtumie 100%! KWANGU, hakuna kikomo!

NIna furaha! NInafurahia kile Naona leo! Asante EZRA. Kwa kweli NaKUshukuru kutoka chini ya Moyo WANGU. Mnafikiri BABA (wa Mbinguni) Hawezi shukuru kutoka Moyoni MWAKE? Nashukuru kwa kweli, NInapothamini kwamba BiArusi WANGU Anafanya uangalivu mwingi sana kwa BiArusi WANGU mwengine. Unasaidia kuwaongoza Nyumbani, Unachukua mkono wake, muongoza kwenye kijia kukutana na BWANA ARUSI wake – YULE MMOJA na YULE MMOJA pekee. Kwa maana NInawaka na wivu kwa ajili yake, na Natamani tu atie fokasi KWANGU MIMI pekee. NInadai upendo WANGU kutoka kwa BiArusi WANGU. WEWE ni WANGU! Akili, mwili, roho na nafsi zenu zote ni ZANGU, MIMI YAHUSHUA HAMASHIACH. Hauna kwingine kwa kukimbilia ila KWANGU MIMI. NImekupa Mviringo WANGU wa Agano, Pete pamoja na ahadi ZANGU, kwa vile utaNIoa MIMI. Na kuwa WANGU daima milele.

Hakuna anayeweza shindana na urembo: unang’aa kwa ajili YANGU! Ng’aa kabisa katika usiku wenye giza kabisa, na kuja KWANGU na jishikize KWANGU, MIMI, MWOKOZI wa Pekee.

MIMI ni MOTO wa milele, SIMBA kutoka kabila la Yuda. NInaheshimu Nabii WANGU, NInaheshimu BiArusi WANGU wa Milele. EZRA, Utakuwa hapa na MIMI na kuona jinsi NInavyocheza cheza maadui WANGU! Wale wote wanaokuja dhidi YAKO, NItawaangamiza!!! Watateseka masumbuko makali hayajasemwa, hakujawahi kuwa na tamko mbeleni kuhusu aina hii ya mateso. Na kwa sababu ya dhambi yao, watakuwa wameistahili, chini ya mwisho kabisa ya Jahanamu. Chini kabisa wataenda! Maadui, hakuna mmoja wenu aliyepita majaribio YANGU!!! Hakuna mmoja wenu aliyefanya wajibu kulinda BiArusi WANGU NIlipeana kwa upendo mwingi! Hamkulinda Neno LANGU! Kwa hivyo hisi moto WANGU! Hisi hasira YANGU! Ukiwaka milele na milele! Oh hamtawahi hisi tulizo, kwa maana Sitawapa lolote, kama vile tu hamkuonyesha EZRA lolote!

MIMI ni MUNGU AnaYEchukua kisasi!!! (Warumi 12:19, Kumbukumbu 32:35) Moto! Kutoka kwa mdomo WANGU pekee! NItachoma hadi msiwe na vipande vyovyote vilivyobaki! NIsikize, dunia! NIko karibu kufunuliwa! Na vikuu zaidi na vikali zaidi kuliko wakati wowote mwingine! NItafanua, funua! MtaNIona katika sehemu tofauti za dunia. Ndiyo mtaona …


Mwisho wa Neno

4 views0 comments

Recent Posts

See All
bottom of page