top of page

Unabii 29 “MIMI, MELEKH TSEDEK, Nasema, Ingieni Katika Kiwango!”


Umepewa Nabii D’vorah kwa Sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni


Umeandikwa 11 Machi, 2019

Ujumbe wa Kinabii


MIMI, MELEKH TSEDEK (Melkisedeki) Nasema, “Ingieni katika Kiwango!” YAHUVEH Anakuja kuhukumu walio wepesi na walio hai. (Niliona YAHUSHUA Akitembea na kioo kuzi.) NImewapa Ufunuo wa URIYAH, DADANGU.

MIMI, YAHUVEH NIko hapa! NInahukumu kama Moshe na watoto wa Israeli! Kumbuka kufanya kila kitu katika utiifu kwa Mapenzi ya NDIMI NILIYE, bila kunung’ununika! (Kwa kaka) Wewe ndiye kamanda! Akipeana amri, nyote mnapaswa kutii! Kuweni na shukrani KWANGU kwa vyeo, nafasi NImewapa. Ee, jinsi Navyowapenda! Oh jinsi mlivyo wenye thamani machoni mwa MIMI YAHUVEH/ YAHUSHUA!

Vichwa vilivyo jaa usingizi, pateni pumziko. Someni Neno LANGU, katika hili kuna pumziko la kweli. MIMI ndiYE Maji Yaliyo Hai juu yako binti WANGU kukufanya upya, na kila mmoja wenu, nyinyi nyote pokeeni Maji YANGU ya Kufanya Upya!

Mnapovuta juu hayo maji, halafu myanywe! Mna Kisima cha Uhai kutoka ndani! EZRA Anajua, Anajua jinsi ya kufarijiwa kwa kweli katika Neno LANGU na ufunuo zote za kimbinguni! Bakini wenye furaha na pateni kuNIjua MIMI, URIYAH, na SISI, UTATU MTAKATIFU vizuri zaidi! TUnapenda kila mmoja wenu na upendo wa milele! Tafuteni uso WANGU na sasa wa MIMI, URIYAH!

NIulizeni MIMI, URIYAH, NIulizeni NIje juu yenu na NIwaonyeshe siri za MOYO wa BABA YANGU! Siri za KAKANGU YAHUSHUA, na Dhabihu iliyoheshimika Alilipia kila mmoja wenu! Napenda KAKANGU na upendo wa milele! Kwa maana TUtashiriki BiArusi kwa sehemu. Kila mmoja wenu ana mwito wa kipekee ndani YETU! TUnawapenda sana.

Oh binti, kuwa mwangalifu, usipurukushe hili ukiliona! (Kuhusu kaka au dada wanaohitaji upendo) Kumbatia kila mmoja wao na upendo WANGU, kupenda ndugu zako na kutunza majeraha na matatizo yao. Ee, binti YANGU, Sisi ni marafiki wa dhati Mbinguni. Je haujui? Wewe ni mpendwa WANGU, Dada YANGU, karibu sana naMI muhibu. NItakufunulia zaidi! Haujui lakini karibuni NItafunua.

UtaNIjua, utaNIjua! MIMI ni UPENDO binti mpendwa! NItafute NIkupe nguvu kupenda hata katika nyakati ngumu! Nyinyi nyote!

Mpendwa WANGU, ee Mtoto WANGU Mchanga, njoo kwa paja LANGU MIMI, URIYAH! Kwa maana wewe ni wa thamani sana KWANGU mpendwa WANGU. Njoo hapa juu, ee mpendwa! MIMI, URIYAH, Nakubusu na KUkumbatia siku nzima! Wewe ni Kakangu na Mpenzi na Bwana Arusi WANGU! Nyinyi nyote! Lakini anahitaji upendo huu sasa hivi! NInapumua juu yake upendo WANGU na Moto Mtakatifu uliotiwa mafuta.

Oh, ulipoteza dada, lakini Nasema NItajaza uwazi huo. NImefanya tayari katika njia nyingi, lakini (pia) kuna pini (unayo) MIMI pekee Naweza jaza. NInakupenda na NInajaza uwazi huo.

Ee, wewe (Kaka mwengine) pia! Upendo wa mwanamke, kike, Nakupa kama DADA! NItaonyesha kila mmoja wenu maana ya utakaso halisi! NInawaonyesha upendo. Upendo wa DADA wa kipekee. Napenda kila mmoja wenu! MIMI, URIYAH, NInapenda kila mmoja wenu! MIMI URIYAH, NInakupenda Binti/Dada/BiArusi. Binti YANGU, wewe ni Dada YANGU. Esta! Unatusaidia na nguo Mbinguni! Ni sawa, mwito wako wa Kimbinguni ni tofauti sana! Wewe si tu Esta! Wewe ni Esta wa Sasa!

Oh upendo, upendo, upendo! Oh upendo,WEWE ni EZRA WETU wa kipekee! Kalebu WETU, Mfalme WETU Daudi wa Sasa!

(Kwa Dada) Wewe ni Mamamkuu WETU wa sasa! Wote wameunganishwa! Oh TUnakupenda Binti muhibu!

Kwenu nyote; mtakuwa tayari kwa Kurudi KWANGU? NIruhusu MIMI, NDIMI NILIYE Mkuu, kuwabariki na zaidi! Sema, “Naipokea!” NInarejesha DNA mpya leo. Njooni hapa juu! Kaeni juu ya paja la PAPA! Bakini katika upendo. NItawatia mafuta kufanya hili kama mfano, kwa hivyo msiwe na wasiwasi kuhusu lolote. NIko hapa kuwalinda! MIMI wote ni wenu! Nawapenda nyinyi Wana na Mabinti WANGU wa thamani!


Mwisho wa Neno

2 views0 comments
bottom of page