top of page

Unabii 9 “Yerusalemu, Mbona Unatesa Manabii WANGU?”

Updated: Oct 19, 2020

Umepewa Nabii Hannah kwa sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni


Umeandikwa 24 Januari, 2019

Ujumbe wa Kinabii


(Tulipokuwa tunasoma 1 Yohana 5, niliweza kusikia nyimbo katika roho yangu, na niliona YAHUSHUA Akinitabasamia na kusema…)

Unaimba katika Nyua YANGU, kelele za furaha za milele.

Ukiwa wa Dunia unakusanyika, mwaka baada ya mwaka, zama baada ya zama. Imeonywa mara nyingi sana.

Watoto, sikizeni EZRA. Mdomo WAKE ni dhahabu safi. Maneno yote ni ya kweli na yenye Hekima. Tumbo LAKE ni LANGU, Napeana utiririkaji wa maji. YAHUSHUA ni kiini WAKE, Anatembea kwa ajili YANGU. Anatembea pekee YAKE na MIMI.

Nabii WANGU, iandike chini, ni kipawa kipya. NIsikie tu kwa karibu na utakua n

dani yake zaidi. NIlikupa tamanio la moyo wako kuNIsikia MIMI. Nakufurahia pia, kuongea nawe.

Hazina ZANGU, tumaini katika mkono WANGU. Kile NImewafanyia ni kazi iliyo barikiwa. NInashona katika kila mmoja wenu uzi WANGU wa Uhai (naona YAHUSHUA Akishona ndani yetu uzi wa fedha). NIliweka maisha YANGU katika kila mmoja wenu, kufanya kazi YANGU. Siri za siri. Tafuta na mtapata.

Wanatesa EZRA WANGU. Si chochote kipya. Yerusalemu huua Manabii WANGU. Wako radhi wabaki viziwi, na kutotaka Maneno YANGU yaandikwe kwenye mwili wao mzima. Jinsi Navyohuzunika kwa hilo. NIlikuja kurejesha kazi NIlipatia Moshe, ambayo Anaongoza. Mambo mengi yaligeuzwa maana, lakini EZRA wa Sasa Alipeana maana mpya za kile ilipaswa kumaanisha ndani YANGU.

MIMI ndiYE TORAH INAYOISHI! Unapoishi ndani yake, unaishi ndani YANGU. Na Nazungumza nawe, nanyi nyote. Kiasi tofauti tu. Nawathamini nyinyi nyote kuliko chochote kile. Moyo WANGU ulihisi kuvunjwa [kwa wale wanaoNIkataa]. Lakini EZRA, Uliuunganisha pamoja na Watoto WANGU wanaoNIpenda na wanataka kuNIpendeza. NItawapa hazina zaidi kwa ajili ya mliyofanya.

Nawapenda, nyinyi nyote! Mna vipande vya moyo WANGU ndani yenu. Hapo NIliweka Olam YANGU (Ulimwengu, Mhubiri 3:11, Ha’olam – ulimwengu, mara nyingi katika Kimombo hutafsiriwa ‘Milele’).

NIletee kile hamuelewi na NItawapa majibu. Ikiwa hamtauliza, hamtawahi jua. Msiende kwa uelewa wenu. shetani huwa pale daima kupotosha.

Si tu kiroho, lakini kimwili. Mhuri u mkononi MWANGU, na NInatia mhuri wale watiifu. Upepo hautawagusa. Lakini upepo wa hukumu utapuliza! Hu! (YAH Anapuliza upepo kutoka mdomoni MWAKE). Yote imekwenda! Hu! Kumvi, yote imeenda, imechomeka! Hamuwaoni tena!

Zawadi ZANGU huja pamoja naMI. Kama vile NENO LANGU lasema kwa wazi. Na miguu yenu itakimbia na haitachoka. Fanyeni kazi YANGU, Watoto. Fanyeni kazi YANGU na msikawie.


Mwisho wa Neno

2 views

Recent Posts

See All
bottom of page