Unabii 10 “Jitayarisheni kwa Ajili ya MFALME Kutawala!”
Updated: Oct 19, 2020
Umepewa Nabii Hannah kwa sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni
Umeandikwa 27 Januari, 2019
Ujumbe wa Kinabii
(Tulikuwa tunaabudu, halafu nikaona YAHUSHUA Akiingia wakati tulikuwa tunaimba wimbo wa kwanza. Nilisikia upepo 4 zikipuliza …)
Naam, abuduni Uwepo WANGU. NInawatia mafuta, nyinyi nyote! Na mabusu YANGU ya manukato. Ufalme uko tayari. Tayari kutawala. Matayarisho yamefanywa. MFALME wa Wafalme, BWANA wa Mabwana Yuaja Duniani kutawala!!! (Nahisi Mbinguni imehifadhi nguvu nyingi sana)
Usikawie, jitayarishe. Ingia katika Neno LANGU. Chagua siku hii ni MUNGU yupi utatumikia. Na heri uchague Yule MUNGU sawa. Njia ya uhai ni moja, mauti pia ni moja. Tumefanya mengi sana. Kuokoa wanadamu kutoka kwa laana ya milele. Ishafanywa. JINA LAKE ni YAHUSHUA. Nyama iliyokolea, iliyokamilika.
(Naona mioshi ya manukato ikizunguka YAHUSHUA. Malaika wanavisha majoho mengi juu ya BABA, rangi tofauti, nyekundu, samawati, n.k. Nilihisi pia makaa yaliwekwa mdomoni mwangu).
Naam, kaza fikra. Mambo makubwa yanatendeka usiku wa leo. Si jambo dogo MIMI kuambia EZRA kuachilia upako juu yenu nyote usiku wa leo. Lazima Nifanye kile Nahitaji kufanya. Lazima NIje katika hasira YANGU kali! Lazima NIje NIfanye kazi YANGU ambayo NIliahidi YAHUVEH! Si jambo dogo. Wengi hawaelewi na watashangaa. Watoto WANGU, mko katika maji, lakini Niko nanyi. Hamtazama. Fanyeni kazi pamoja kwa Utukufu WANGU.
(Tuliimba wimbo wa kuabudu, ABBA YAHUVEH Azungumza …)
Moto kwenye EZRA WANGU! Moto! Na zaidi! Na utaenea kama moto wa mwituni! Mbele Utaenda! Eneza! NENO LANGU la moto! Litakuchoma, MIMI tu. Kuna wakati. Wakati huu, kufukiza uvumba.
WEWE ni Uvumba WANGU, Bakuli LANGU la Uvumba. Teketea kwa ajili YANGU! Manukato yote! Nayataka! Inachoma tamaa zako zote, ikiacha tu MIMI ndani YAKO. Hivi ndivyo ilipaswa kuwa. Dunia nzima ilipaswa kuwa hivyo. Lakini wanaitelekeza, kwa hivyo Nainua EZRA WANGU. Mfanya kazi WANGU Mzuri kabisa. Dhahabu ya dhahabu yote. Nastahiki vikubwa.
(Naona Seraphim wakionekana mahali petu katika maono)
Marekani! NIlikupa huruma! NIlikupa Donald Trump. Atafanya mapenzi YANGU, lakini unakataa. Atafanya kazi YANGU, kuchoma na kuangamiza minara ya baali. Yeye ni kiongozi wa haki mradi atubu. Anasikia kile anahitaji kuNIfanyia. Yeye ni kifaa CHANGU cha kuwatimizia vitu. Marekani! Kwa sababu bado NInao watu wanaNIlilia! Kwa ajili yao. Kwa ajili yao!
Amsha dunia yote! MFLAME Anakuja! Mko tayari? La, wengi wenu hamko (tayari). Funzeni na mshiriki njia za EZRA. Inarefusha maisha yenu. Watoto, funzeni wengi. Shirikini kwenye YouTube. Funzeni, dhihirisha huo upendo. Msijali wanachofikiri, maana ni kweli. Dhihirisha njia YANGU, mapenzi YANGU, fikra ZANGU.
KuNIhusu MIMI tu, Takatifu na Adili. Kuweni safi pamoja naMI. NIruhusu NIongee nanyi. NIakumbatie na NIwafurahie. Watoto WANGU Wachanga, BiArusi WANGU! Furahieni naMI! NImekuwa NIkingojea siku hii kwa muda mrefu sana. EZRA kutia mafuta. Anatazama, Analinda. YEYE ni Simba Anayenguruma. Salimisha mapenzi yako, NIpe MIMI. Acha MIMI NIifanye.
Mapenzi yenu si mazuri kabisa. NIpeeni utawala wenu. Acha MIMI NIwathibiti. Na kuwaletea ukombozi zaidi. NIongeleshe wakati kumenyamaza, sikia mnong’ono WANGU… Mapenzi YANGU… Jinsi yalivyo safi … Utukufu wa Dhahabu… Shh… Kuwa katika Uwepo WANGU.