top of page

Unabii 15“Fuateni ile Njia ya Kale! Nyota za Milele! / Fungueni Malango ya Kale!”

Updated: Apr 14

Umepewa Nabii Hannah kwa Sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni


Umeandikwa 23 Februari, 2019Ujumbe wa Kinabii


(Fuateni ile Njia ya Kale! Nyota za Milele!)


NInafurahia kupita kiasi, Watoto WANGU! Je, mnaweza hisi msisimko wa Mbinguni? Ee, Dunia inatetemekea msisimko WANGU! NInakanyaga chini kama mtoto mdogo NIkingojea Biarusi WANGU anayependeza kabisa ili ni NImtazame. YEYE ni Kito CHANGU, Tunu YANGU ya zamani. Sitawahi wasahau, wala yeyote kwenu.


NIthamini siku hii, fuata njiia YANGU ya zama za mamilioni, ni Njia ya Zamani mtakayofuata.


Sileti kwa urahisi zawadi ZANGU na vito VYANGU kwa mamilioni kudhihakiwa. Lakini ni kwa wakati na kusudi kujaribu moyo wa wanadamu. Watarithi uzuri WANGU ikiwa wataamini Maneno YANGU yaliyoandikwa na Vidole VYANGU vyenyewe. NImetabiri kutoka kwa Wasemaji WANGU Unabii zinazoweza kuhimili zama za mamilioni. Ni Maneno kutoka kwa kinywa CHANGU. NImenena, NImeonyesha Utukufu WANGU! Kila siku NIshukuru kwa Jua mnalo linalowaletea uvuguvugu. Mwaweza waza ikiwa jua lisingetokea au kung’aa? Viumbe vyote vingekufa, vigande hadi kifo. Lakini NIliweka sayari ZANGU katika Ulimwengu vizuri tu, ziko sawa tu. Zimesawazishwa kikamilifu.


Je MIMI siYE mwanzo na mwisho? Na KWANGU MIMI, hakuna mwisho! Hakuna mwisho kwa Watoto WANGU wapendwa! Mtaimba zaidi, angaza zaidi, NItukuza zaidi. Yote kwa Kusudi na Utukufu WANGU.


Ee mkora Hillary Clinton, maisha yako yamo mkononi MWANGU. Tauni ya damu nyeusi inayochemka na kansa utateseka. Inangoja tu wakati WANGU ili idhihirike.

Nyota, nyota, NIangazieni. Njooni kwa kifua cha PAPA ili NItazame urembo wenu. Hakuna bandia, bandia NIlitupa.Mwisho wa Neno
Ujumbe wa Kinabii


(Fungueni Malango ya Zamani!)


Malango yote ya Zamani mtapita, kama vile NImeamuru kwa kila mmoja wenu. Yale Malango ya Zamani ni Malango mababu wamepitia. Malango ya Ushindi kwenu. Malango ya Kujazwa tena, Kutegemezwa. Ni kile mnapaswa kushika kila siku. Ombi hilo ni zuri kwa kila siku! Maana mnahitaji Malango YANGU ya Huruma yafunguliwe kila siku! Kuna maarifa mengi na hekima nyingi ndani yake, bado tu hamuwezi fahamu yote.


Mwisho wa Neno

4 views

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page