top of page

Unabii 32 "MIMI, YESHUA, Nasema, Ee Marekani, Hii Ndiyo Nafasi Yako ya Mwisho!”

Updated: Mar 21


Umepewa Nabii D'vorah kwa Sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni.

Umeandikwa 13 Aprili, 2019


Maandiko Husika

Mathayo 20:1-13

Ndipo Ufalme wa Mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi. Watano wao walikuwa wapumbavu, na watano wenye busara. Wale waliokuwa wapumbavu walizitwaa taa zao, wasitwae na mafuta pamoja nao; bali wale wenye busara walitwaa mafuta katika vyombo vyao pamoja na taa zao. Hata bwana arusi alipokawia, wote wakasinzia wakalala usingizi. Lakini usiku wa manane, pakawa na kelele, Haya, bwana arusi; tokeni mwende kumlaki. Mara wakaondoka wanawali wale wote, wakazitengeneza taa zao. Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, Tupeni mafuta yenu kidogo; maana taa zetu zinazimika. Lakini wale wenye busara wakawajibu, wakisema, Sivyo; hayatatutosha sisi na ninyi; afadhali shikeni njia mwende kwa wauzao, mkajinunulie. Na hao walipokuwa wakienda kununua, bwana arusi akaja, nao waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye arusini; mlango ukafungwa. Halafu wakaja na wale wanawali wengine, wakasema, Bwana, Bwana, utufungulie. Akajibu akasema, Amin, nawaambia, siwajui ninyi. Basi kesheni, kwa sababu hamwijui siku wala saa.


Ujumbe wa Kinabii

(Nikiomba wakati wa wimbo wa Moshe:

Nizungumzie YESHUA, niambie kilicho moyoni MWAKO. Acha Ujumbe huu uwe kwangu kama manukato matamu na acha nipate uhusiano wa ndani zaidi naWE, na tafadhali tubariki sote. Kwa maana tunatamani kusikia kutoka KWAKO na kuKuJua vyema na moyo WAKO. NaKUpenda sana Mpendwa BWANA na MWOKOZI wangu!

Naona YESHUA na URIYAH WAkitembea mkono kwa mkono.)


Oh Marekani! Hii ndiyo nafasi yako ya mwisho! Ee, magoti yako utaNIinamia NIsije MIMI, YESHUA, kukulazimisha kuinamia Mapenzi YANGU! Tii Sheria ZANGU! Shika Torah! Ikiwa hautafanya, Nitakufanya uteseke katika Siku 3 za Maangamizo na mapigo ya ghadhabuYANGU! Mnafikiri zile nzige zilikuwa mbaya? Oh, hamna habari. Hizi zinafanya nzige zikae kama matembezi bustani. Oh yanayokuja! Oh, viumbe vigeni angani viko hapa!


Oh Marekani, tauni na laana na bakuli za ghadhabu na maangamizo YANGU NItalafua chini ya koo zenu na kuwalazimisha kukunywa kikombe cha damu ya wale bado hawajazaliwa *[wana walio tumboni mwa mama zao*]! Oh uvundo, uvundo, kama moshi unafika Mbinguni! Kwa sababu mnakataa kutubu! Kwa sababu Wafia-dini wako katika nchi zingine – hicho ndicho kisingizio chenu cha kuua! Tangu lini mkaanza kujali Wafia-dini?! Kwa maana watoto wenu wachanga wanafishwa kishahidi kila siku na mamilioni katika tumbo za mama zao na mamilioni kadhaa kwa mwaka mzima wanauawa kila mwaka na bado mnageuza vichwa vyenu na kufunika masikio na kusema, “Hatukuona kitu chochote.”


Oh nyinyi wahubiri mnaenda kulipa! MliNIuza kwa mzabuni wa juu kabisa wa fedha! Na wewe Joel Osteen, oh utalipa katika njia kubwa! Tayarisha kunywa ghadhabu YANGU, ewe shetani wa kireptilia wa ibilisi! Kujifanya mhubiri, lakini macho YANGU hayapumbazwi na sura yako ya kinafiki ya maarifa ya kilimwengu na jinsi ya “kufurahia”, huku ukijaza watu na mawazo ya kilevi na kutanda akili zao na wazimu.


Tahadharini Watoto WANGU! Msishiriki hizi kanisa za dola mamilioni kadhaa! Dhahabu ya wapumbavu! Maana wanawaahidi utajiri lakini utajiri wa kweli unapatikana tu katika NDIMI NILIYE MKUU! Msiwe na hofu, kwa maana MIMI NDIMI MUNGU wenu! MIMI NDIMI YEHOVAH, MUNGU wa Kweli wa pekee, kwa hivyo usifuate baada ya Mamoni! Msifuate baada ya njia za ulimwengu, NIsije MIMI, YEHOVAH, NIkawafagia mbali wakati Nahukumu hii dunia katika Siku ZANGU 3 za Giza zinazokuja karibuni!


Halafu Warusi watakuja upesi kwenye ufuo na watawaua nyinyi na watoto wenu!


Mtapelekwa kwenye kambi za wafungwa wa siasa, nyinyi nyote ambao mtakataa Alama ya Mnyama. Nyinyi nyote ambao mtagundua wakati huo, kwamba ni kuchelewa mno. Maombi yenu hayatasikika. Mtalia katika jina LANGU, lakini hamtasikika – kwa sababu mnafikiri tu ‘Yesu' [Jesus] ni JINA LANGU, lakini mahabubu WANGU, mmejua vibaya muda wote! Nilijaribu kuwaonya! Hamwezi sema hamukuonywa! Msikasirike na MIMI wakati NImewaonya na mkakataa kusikiza na mnalegeza kwa sababu ya kile ulimwengu utawafikiria!


Tulieni na mjue kwamba MIMI NDIMI ELOHIM! Enyi watoto WANGU mnaofuata njia ZANGU! Lindeni Amri ZANGU! Kumbukeni [yule] Mnyama anayekuja kufanya vita na waliobaki – wale wanaoshika Amri ZANGU. Hii si kwa wote, lakini kumbukeni kwamba inasema kwamba inahusika na kushika Sheria ZANGU na kuzitii (Ufunuo 12:17, 14:12)! Hao ndio tisho kwa ufalme wa ibilisi! Msidanganyike, kwa maana NDIMI NILIYE Hadhihakiwi virahisi.


Msitazame kushoto wala kulia Watoto WANGU wapendwa! Napenda kila mmoja wenu na upendo wa milele ambao hakuna upendo mwingine unaweza shibisha. Acheni NIwapakate mikononi MWANGU. Acheni NIwafiche kutoka kwa ghadhabu ambayo inakuja haraka. Kwa sababu, ee watoto WANGU wachanga, NIliwaambia NItawafunza jinsi ya kukimbia na kujificha! Msiwe kama wale Wafia-dini ambao walikuwa wale 5 wajinga (Mathayo 25:1-13), wakingoja kabla iwe kuchelewa mno (hii inaarifia hususan wale ambao hawatatilia maanani lile onyo. Sio wafia-dini wote wajinga).

Binti, Nakuleta katika ukumbusho wa yule msichana mdogo ambaye alipatikana makanisani na milango ikawa imefungwa na hakukuwa na njia yoyote ya kutoka nje. Unahitaji kuwaonya. Watafunga milango. Nao wote ndani yake! Watakataa kuwaruhusu mtoke nje! Siku moja, ghafla kufumba na kufumbua, hii itafanyika! Watakataa kuruhusu watu kutoka kwa ibada ya kanisa na wata-kihalisia wapiga chapa kwenye vipaji vya nyuso zao. Itakuwa kama kolosiamu, wakati waliwasanya ndani kama ng'ombe na kuwalazimishia chanjo. Hili litakuwa umbo lingine la Mnyama.


Atawatia alama wakati wataangukia hila ya dawa za chanjo. Ee kuweni waangalifu, kuweni wenye hadhari! Kile mnaambiwa kuhusu watoto wenu kuwa wagonjwa, msiamini hizo wongo!


Msichukue hizo dawa za chanjo!!!


Kwa maana huu ndio Mfumo wa Mnyama na watawafuatilia /[chunguza]. Mara [tu] ukiwa na hii, hakuna kurudi nyuma; haitawezekana kuwa wasiweze kuwafuatilia nyinyi na wapendwa wenu. Milele mtakuwa mmelaaniwa ikiwa hamtasikiza na kutii Amri YANGU (hii inaarifia hiyo alama). Maana MIMI, YEHOVAH, NInanena sasa!


Ee Wafia-dini WANGU, kuweni tayari. Mtalazimika kumwaga damu yenu na Nawahitaji mwe wenye nguvu. Kumbukeni tu, muda mfupi wa uchungu na muda wa milele na MIMI. Itastahiliwa. Endeleeni na yale yote mnayofanya sasa, mtalipa baadaye, na maisha yenu. Lakini ukifika wakati huo, kumbuka Maneno haya kutoka kwa MIMI, BABA wenu, YEHOVAH: Nawapenda! Nataka mwe na MIMI. MsiNIsaliti. Msisaliti MWANANGU YESHUA! Msisaliti ROHO MTAKATIFU AnaYEishi ndani au TUtawaacha! Muda mfupi sana wa kuteseka itawafaidi muda wa milele na MIMI, kwa hivyo kuweni na nguvu watoto WANGU wachanga! Nalia, Nalia, Nalilia kule kuteseka, yale mtalazimika kupitia kwa sababu mnakataa kusikiza! Msisite kusalimisha maisha yenu kwa ajili YANGU YEHOVAH! Nawaahidi, Nitawalinda kutokana na uchungu. Nitatoa roho zenu kabla nafsi zenu zihisi chochote. Muda mfupi sana wa uchungu ni yote mtahisi halafu itakuwa imeisha. Ahadi ZANGU ni kweli na amina! Napenda kila mmoja wenu sana na NInataka mwe na MIMI katika Paradiso na kuwa Mgeni kwa Chakula cha Jioni cha Ndoa ya MWANAKONDOO.


Mwisho wa Neno

10 views

Recent Posts

See All

Comments

Couldn’t Load Comments
It looks like there was a technical problem. Try reconnecting or refreshing the page.
bottom of page