top of page

Unabii 43 “Chanjo ni Kitangulizi cha Alama ya Mnyama!”


Umepewa Nabii Hannah kwa Sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni

Umeandikwa 20 Aprili, 2019

Ujumbe wa Kinabii

(Wakati wa kushiriki Meza ya BWANA (pamoja) na BWANA, niliulizia YAH Neno la dunia na tovuti, kuhusu mpingakristo na alama ya mnyama (ili) kuonya watu.)


NItajibu ombi lako. MIMI, YEHOVAH MUNGU, Nayekaa kwenye Kiti cha Enzi cha Hukumu Kuu Nyeupe – ambao ndio uhalisia ujao karibuni! Kwa hakika NItanyakua wale ambao ni Washindi katika milki na upaaji WANGU. Watoto, hakikisheni ninyi ni wasafi na msiwahi kawia kutubu.


Mimi, Malaika mkuu Mikaeli, chini ya utawala wa YESHUA, JENERALI Mkuu kabisa, ambaYE Alikufa na kufufuka tena siku ya 3, nimekuja kukuletea hati-kunjo ya ujumbe. Tafadhali, ile na utabiria Mataifa, kwa maana wanahitaji kujua ujumbe za BWANA kuhusu mpinga-kristo na Alama ya Mnyama.

Kwa maana mizungu itatokea angani. Maana wanaghushi upaaji wa BWANA (Unyakuzi wa Mwale wa Buluu). Na milki ya kiroho inabadilika. Mpingakristo atainuka kutoka kwa Papa na kutoka Roma, ataungwa na mamilioni ya waumini, watamuona kuwa kama Hitler na hawatajua. Maana yeye ndiye mpingakristo wa wapingakristo. Akizaliwa moja kwa moja kutoka kwa tumbo la Yezebeli, Kahaba wa Babeli. Alikuwa na uja uzito naye kwa muda sasa, na karibuni hiyo roho itazaliwa kwa Mataifa. Kama tu vile alikuwa na mwito wa kuitwa Nabii kwa Mataifa, shetani pia ana Nabii bandia kwa Mataifa (nabii wa uongo).


Mnyama atainuka – yule aliye na akili bandia – kinasaba mnyama kiamshacho. Oh, dunia haiko tayari, dunia haiko tayari. Nchi ya ulimwengu wa tatu ni salama zaidi kuliko kuwa Marekani.


Marekani ikiwa hamtaombea Trump na kumuunga mkono, kwa kweli Nitaondoa ulinzi wenu. NInao 14 WANGU na waumini WANGU wengine Watakatifu kote duniani kuwaombea. Kwa sababu macho yenu (Marekani) yamepofushwa zaidi, yamepofushwa zaidi kupita kipimo. Kuna ukungu mwingi hamwezi ona vizuri tena. Oh, hukumu NIta- na lazima NItangaze! Kwa sababu MIMI ni MUNGU wa haki. SIwezi danganya. SIwezi kufa. SIwezi saliti silika YANGU, MELEKH TSEDEK (Melkisedeki) WANGU.


Kudungwa chanjo ndiyo mwanzo wa kupandikizwa kwa Alama ya Mnyama! Watabadilisha asidi nasaba (DNA) yenu bila nyinyi kujua ili muweze kukubali Alama ya Mnyama. Hamshangai kwa nini wanaisukuma kwa nguvu sana? Oh itatumika dhidi yenu siku moja. Maana watasema, “Wale tu wana alama ya kupigwa chanjo wanaweza ingia dukani na wanunue chakula na maji!” Na wale wengine wataangamia. Karibuni, Alama halisi ya Mnyama itatokea. Hii tu ni kitangulizi. NIliwaonya, NImewaonya dunia! NImewaonya kutochukua Alama ya Mnyama, kwa maana hiyo ni kuuzia nafsi yako mzabuni wa juu zaidi.

Na siku hii, Naonya: Msichukue Alama ya Mnyama! Kupigwa chanjo tu ni kitangulizi! Ukiichukua ni chukizo KWANGU! Oh, msifanye kazi hii ya chukizo!


NInao Manabii WANGU, Manabii WANGU 2 waja kuwaonya.

Manabii wa Wakati wa Mwisho. Wale Mashahidi 2. Watatokea karibuni wakati mko mwisho wenu wa ukatili, na mnafikiri yote yameisha. Lakini la, bado kuisha. Wakati wanaita amani, ndipo MIMI NItaita chini hukumu YANGU! Hukumu YANGU! Hukumu YANGU katika Ufunuo! Dunia itajikunja kama hati-kunjo! Na NiItaiweka kando kwa miaka 7, imefungiwa muhuri!

Babeli kuu na mbaya! Ni damu ya wafia-dini wangapi ulikunywa! Na Marekani! Kahaba wa Babeli! Utaangamizwa!!!

Msiuze, msinunue – oh ni hukumu na jaribio lenu! Mtatii nani? Je, mtasulubisha mwili wenu na hadi kifo hamtapokea Alama ya Mnyama? Oh, ni heri mNIamini, jina la Yesu/Jesus halitakuwa na nguvu siku hiyo. Kwa sababu mpingakristo atajiita ‘Yesu/Jesus'! Ni heri msikize sasa! Ni mara ngapi Nahitaji kuwaonya?


Karibuni, Siku 3 za Giza zitashuka na kuwa siku ya kuogopesha kwa wanadamu wote. Kwa sababu hawakusikiza onyo ZANGU za (wale) 14 na wale ambao wametiwa mafuta kuhudumu. Oh jinsi ihuzunishavyo, maana NImepeana ndoto, maono, ROHO WANGU kwa wale wanaoitwa WANGU, kuleta wokovu kwa wapagani na watoto walio vuguvugu. NIlitaka kuwaokoa, oh lakini tu mkitii. Katika Ufalme wa Mbinguni, kila kitu kinaNItii, hata huyu Nabii. Anazungumza NInaposema “Nena!” Kimya NInaposema, “Kimya!” Anataipu NInaposema, “Taipu!” Wanajaribu kadri ya uwezo wao kuNIpendeza na wanatubu wakati sivyo.


Maana upako wa Bibi na Bwana – Mashahidi 2 wa asili – Ni MIMI, YEHOVAH, na MIMI, IMMA. Maana TUlishuhudia uumbaji wa dunia, kusitawi na kuoza kwake. Na Tunatangaza hukumu kwenye hii sayari Dunia! Hivyo itakuwa tena, bibi na bwana. Wataona kama umbo moja kali lenye moto, na sekunde ifuatayo (kipindi cha muda), ni mmoja mmoja waliotiwa mafuta. Wakati mmoja anapojua, wale wengine pia wanajua. Maarifa yatashirikiwa kwenda kurudi, hakuna mwisho wa maarifa na hekima. NItatiririka kwa unyenyekevu wote na upako wenye siha. Kwa maana huu ndio upako uliojaa na wa mwisho wa Mashahidi Wawili! Mashahidi Wawili watatembelea Mamilioni ya Wayahudi na Wakristo waumini na kuwaonya wasichukue Alama ya Mnyama au kuruhusu wazo kama hilo, lakini kutumainia BWANA kwa mahitaji, maana mwanadamu hatalishwa kwa mkate pekee bali (kwa) Neno la MUNGU.

Oh, karibuni njaa kuu itakuja, njaa kuu ya Maneno YANGU. Dunia itaonja ghadhabu YANGU, wale wasioMcha MUNGU ambao Nimekasirika kuhusu! Mashahidi WANGU Wawili watakuja kuwateketeza!!! Ulimwengu, kuweni tayari kwa mpingakristo! Atakuja na ngumi ya chuma, ile ambayo Yezebeli anatawala nayo. Lakini Nitamgonga, mgonga chini. Mtwanga chini!!! HA HA HA!


MIMI ni MWENYEZI MUNGU! Hakuna anayeNIambia cha kufanya! MIMI ndiYE Mwanzo na Mwisho, ALPHA na OMEGA, ALEPH na TAV!


Sasa kurudi kwa Neno la Marekani, karibuni mnaangamizwa. NImewapa muda chini ya Donald J. Trump, lakini je, mliutumia vipi? Mnamtendea mabaya, mkimponda, mkimpiga! Oh, sifa yake – MIMI, YEHOVAH, SIjali (kuhusu sifa yake), maana alikuwa ameomba radhi sivyo? Au nani miongoni mwenu anaweza sema ni mkuu kumliko? La, nyote ni wabaya zaidi kumliko! Yule chukizo kubwa Hillary Clinton, acha NIje na ngumi na mkono mkuu na kukuangamiza! Wewe ni mtenda maovu, sawa na bwanako! Oh msenge chukizo! Rais? Hahaha! SIjali (hata) kidogo cheo cha mwanadamu! Haimaanishi lolote KWANGU! Je, mnafikiri Jahanamu itaangalia vyeti na diploma zenu na kuwatendea vema zaidi? La. Mmedanganyika kufikiri kwamba maarifa (ya kilimwengu) na diploma na vyeti vya kilimwengu vinaweza waokoa. Maana hamna moja yao ambayo ni Takatifu, hamna. Hamna. Usipofuata mapenzi YANGU, usipofuata njia YANGU, sauti YANGU, basi NIondokee, maana Sikuwahi kujua!

O jamii ya Wakristo, wengi sana watakufa! Kwa sababu ya kukosa maarifa! NIlionya! Hata katika Kitabu CHANGU cha Ufunuo! Na wakati Manabii na Mitume na Watumishi WANGU wanakuja milangoni penu, mnawafungia nje! Ikabodi!!! Ikabodi!!! MIMI, IMMA (RUAKH HAKODESH/ ROHO MTAKATIFU), Simo katika hayo makanisa! Ikabodi!!!! Wakati mkubwa wa kulia na kuomboleza uko juu yenu! Makanisa ya Babeli Nawaita! Makanisa ya Mayezebeli wa kweli! Kwa sababu nyote mmechukuliwa na roho ya Yezebeli, mkinyua damu moja ya kulaaniwa na MUNGU. Maana mlitelekeza Manabii WANGU walio na upako kama wa Eliya, na mnawafukuza! Yezebeli watakufa! Je mnaNIsikia?! Yezebeli watakufa! Na NInangoja tu wakati WANGU wa kudhihirisha.


BiArusi wa KRISTO, jitayarishe! Usisinzie, usianguke katika usingizi! NIache MIMI, YESHUA, NIje kukunyakua! Lakini lazima uwe tayari! SIwezi kuwa na BiArusi ambaye hajakomaa! Na NItakukujia kupitia Mashahidi WANGU Wawili. Kuu na ya kuogofya ni Siku ya BWANA na karibuni itakuwa juu yenu!

Mnyama mkuu wa shimo lisilo na mwisho – ah atainuka, kwa kweli atainuka! Na kuwagonga Mashahidi WANGU Wawili, lakini watainuka baada ya siku 3 ½ , kwa maana hizo ndizo siku zenu za Dhiki. Siku 1278, mtateswa! Hahaha! Mpingakristo! Unafikiri wewe ni nani? Sasa unajificha katika Vatican, ukinywa chai na divai ghali, lakini NItakugonga! NInakutumia barua YANGU ya kushindana. Mpingakristo Maitreya! NInafunua siri zako, na kuwaonyesha udhaifu wako! NItamgonga. NItakugonga. NItagonga vizazi vyako vyote! (Naona wanyama) Kwa maana kweli ulizaa na Yezebeli, Kahaba Mkuu. Na alikuzalia warithi, maelfu juu ya maelfu. Na roho za uovu kutoka kwako zitawachiliwa duniani kugandamiza, na kudhibiti wanadamu na woga na kutetemeka. Hawatajua amani ni nini tena, baada ya kauli yako ya kwanza. Wakati wa Hitler utakuwa tena!

NIlitabiri! Na NImetabiri kutoka kwa Manabii WANGU Wakuu wa Milenia ya Dhahabu! Wanasikia sauti YANGU na sauti YANGU pekee, kukutumia hili onyo Marekani. Lichukue au liache. NItahakikisha na NItahakikisha na Manabii WANGU.

Nimenena siku hii.


Mwisho wa Neno

17 views

Recent Posts

See All
bottom of page